Voice October Q & A session in Tanzania
Kundi la wafadhili wa mradi wa Voice wanania na lengo la kuakikisha makundi maalumu katika jamii zetu yanawezeshwa na sauti zao zinasikika!
- Je Wewe ni mkazi wa Dar es salaam, Morogoro, Arusha, Tanga au Zanzibar?
- Taasisi yako inataka kutunza na kutetea uhuru wa kujieleza?
- Taasisi yako inafanya kazi katika kuakikisha ushirikishwaji wa wote katika maswala ya kijamii na kisiasa?
- Taasisi yako inafanya kazi kuhakikisha haki za binadamu kwa wote?
Kama ndio, basi karibu katika kipindi chetu cha maswali na majibu ya jinsi utakavyo pata ufadhili wa mradi wako kutoka kwa wafadhili wa mradi wa Voice.
Kipindi kitafanyika katika ofisi zetu zilizopo Dar es salaam, Mafinga road, off kinondoni road, karibu na Benki ya Stanibic, Opposite na Ubalozi wa Switzerland.
Siku ya Jumanne na jumatano tarehe 16/10/2018 na 17/10/2018 – Muda: 9:00 am asubuhi- 4:30 pm jioni
Kwa wale walio mbali na Dar es salaam tafadhari tuma neno “NDIO” kupitia WhatsApp namba +255716731923 kungaanishwa nasi katika kipindi chetu. Asanteni!
Translation:
Voice is interested in supporting groups that are including the needs of the various target groups and their voices amplified!
- Are you based in Dar es Salaam, Morogoro, Arusha, Tanga or Zanzibar?
- Does your institution or group want to defend freedom of expression?
- Does your institution or group work towards inclusive participation of ALL in social and political queries?
- Does your institution or group work towards human rights for all?
- If yes, then you are welcome to our QandA session to learn how you may get funding for your project.
The session will take place in the Hivos offices in Dar es Salaam, Mafinga road, off the province road, near the Mafinga bank, opposite the Embassy of Switzerland.
When:
On Tuesday and Wednesday 16/10/2018 and 17/10/2018-time: 9:00 am in the morning-4:30 pm evening
For those who are far away from Dar es Salaam, please send the word “yes” via WhatsApp number + 255716731923 to be connected to us during this time. Thank you!